Nyumba inapangishwa Rau, Kilimanjaro
Nyumba mpya nzuri ya kisasa iliyopo Rau kuelekea KCMC
Nyumba Ina chumba kimoja, sebule,jiko pamoja na public toilet.
Bei: Nyumba inapangishwa 200,000 kwa mwezi.
Malipo: tunapokea kwa miezi mi 6, au zaidi.
Note: Nyumba ina uzio wa Fance na gate.
Pia nyumba haijitegemei, Bali zipo apartments nyingine.
Mawasiliano yangu: 0625369161+
WhatsApp
Note: Usalama 100%
Pia Kuna Gharama za kuonyeshwa nyumba ambazo ni 10,000. Endapo utaridhia nyumba na kuwa tayari kulipia wewe utalipia pesa ya udalali ya mwezi mmoja.
#dalali_moshi_kilimanjaro #moshi #moshikilimanjaro #kilimanjaro #kili #arusha #dar #renthouse #moshiairbnb #airbnb