Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI PAMOJA, TSHS.160 MILIONI, SINZA-MADUKANI.
Hizi ni nyumba za Kizamani.
Unaweza kuzivunja ili kujenga Upya au kuendelea kuokota Kodi kwani zote zina Wapangaji.
Mtaa mzuri wa kuwekeza Apartments.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 288.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________erytn