Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


➡️APARTMENT INAPANGISHWA 1.5M INA VYUMBA VITATU MAENEO SINZA /APTMENT FOR RENT 1.5m
➡️APARTMENT INA LIFTI MASAA YOTE
➡️APARTMENT INA VYUMBA VITATU VIWILI MASTA
➡️APARTMENT IPO KALIBU NA BARABARA Ya LAMI DK2
➡️LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASCO
➡️PAKING KUBWA
➡️MALIPO MIEZI 6
➡️PIA HUMU NDANI TUNAZO VYUMBA VITATU ZENYE FENICHA BEI 2.5M kwa mwezi malipo ata mwezi mmoja
➡️APARTMENT INA INTERNET WIFI
➡️JIKO ZURII MAKABATI
➡️MAKABATI VYUMBANI KOTE
➡️STOO IPO
➡️INA FIRE EXTENGSH
➡️SIMU ZA MEZANI KWAAJILI Ya UTOAJI WA TAALIFA OFISIN KWA ZARURA
➡️LOCATION TANZANIA 🇹🇿 DAR ES SALAAM SINZA KALIBU NA BAMAGA AU ITV AREA OR KIJITONYAMA
TUPIGIE SIMU ☎️0717967444 calling only na
☎️0743696444 calling also
☎️0786036444 watsap namba