Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment for rent
Date listed
21 02 2024
Direction
Sinza madukani
Fixed price
Laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 2 nakuendelea
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Nichumba kimoja kizuri sana ambacho niself contained najiko mazingira tulivu piga cm usichelewe
Notes
Dc
Real estate agent
Epuka matapeli fanya kazi namadalali wenye ofis nawaliosajiliwa
Fika ofisin kwetu sinza madukani near manyala hotel
Call
0654 33 00 49
0712 17 55 49 whatsAp