Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET NDANI
#LUKU VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILLES
#GIPSAM
#ALUMINUM SLIDE WINDOW
#GARDEN SAFI
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING YA GARI IPO KUBWA SANA NA USALAMA WA KUTOSHA
#LOCATION #TABATA_KISUKULU_MAJI_CHUMVI
#BEI 500,000 KWA MWEZI KODI MIEZI 6
#USAFIRI BAJAJ KUTOKEA UBUNGO EXTERNAL AU UNAWEZA UKAPITA TABATA KIMANGA
#PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 MPAKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :---
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796
#0712348316 WhatsAp