Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


ENEO ZURI LA KIBIASHARA LINAUZWA
LENYE NYUMBA KUBWA NA FREMU (8) ZA MADUKA LINAUZWA TABATA SEGEREA
BEI.MILLION 300ML MAZUNGUMZO
DOCUMENTS TITLEDEED YA WIZARA YA ARIDHI
KODI KWA FREM 1 NI TSH 150,000/=
NA FREM ZOTE ZINA WAPANGAJI AMBAPO KWA MWAKA KODI UNAPATA MILLION KUMI NA NNE NA LAKI NNE
14,400,000/=
MPANGAJI WA NYUMBA KUBWA KODI NI TSH LAKI SITA AMBAPO KWA MWAKA NI MILLION SABA NA LAKI MBILI 7,200,000/=
UKIJUMRISHA PANGO LA BEI ZA FREMU ZA MADUKA NA KODI YA PANGO LA NYUMBA KWA MWAKA UNAPATA.
(MILLION ISHIRINI NA MOJA NA LAKI SITA
21,600,000/=
PANUZWA MILLION 300 KARIBU SANA MDAU WETU.
MAWASILIANO.
0657 777 771 whatsapp/calls
0747 257 771 normal calls only
Kasinge
Dalali Tanzania