Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Stendi.
- Master
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Fence
- Parking
- Wapangaji 3
Kodi 230,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.