Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
APARTMENTS HIZI ZIPO TABATA BONYOKWA MWISHO UMBALI WA DK 2 KUTOKA KITUO CHA DALADALA ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA SEGEREA
SIFA ZAKE
==========
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
SIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA KIOO UMEME MITA YAKO MAJI YANA FROO NDANI PAVING PLOCK š« NYUMBA IKO NDANI YA FENCI
KODI 200K MALIPO KWANZIA MIEZI 6X
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA š¤
CONTACT
0742260844
0657384670
.
DALALI SILAA