Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
๐ NYUMBA INAUZWA - TABATA SEGEREA
Karibu ujionee fursa hii ya kipekee ya uwekezaji Tabata Segerea, mita 200 tu kutoka barabara kuu. Nyumba hii inakupa uwezo wa kupata kipato cha kudumu kupitia fremu 8 za maduka, kila moja ikipangishwa kwa TZS 150,000 kwa mwezi, na nyumba ya standalone inayolipa TZS 800,000 kwa mwezi.
๐ธ BEI: TZS 250,000,000 (pamoja na kodi)
๐ Gharama ya Kukagua: TZS 50,000
Kwanini uikose? Ni nafasi adimu ya kumiliki mali yenye mapato ya uhakika. Jitengenezee chanzo cha kipato endelevu katika eneo lenye watu wengi na biashara nyingi. Chukua hatua leo!
#NyumbaInauzwa #TabataSegerea #UwekezajiMzuri #FursaYaMapato #DarRealEstate#dalalitabata #dalalisoso