Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KODI 350,000X6
LOCATION TABATA KINYEREZI KITUO KWA DITO PILE KM1 USAFIRI 1000 HADI NYUMBANI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENSI INAJENGWA PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347