Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba hiyo inauzwa ipo Tabata Segelea inaukubwa wa sqm 500 kutoka stendi kuu ya Daladala ya Segelea mpaka kwenye nyumba ni mita300tu na ipo karibu sana na shule ya msingi Tabata Segelea hii nyumba ina eneo kubwa sana unaweza kujenga Apartment za chumba masta sebule na jiko lako zikatoka pea10 na kwa bei ya kule kila Apartment moja unapangisha sh.300,000/=inamaana kwa mwezi unakusanya sh.3,000,000/=kwa mwaka unaingiza ml.36 pesa yako hapo ndani ya miaka kadhaa inakuwa imesharudi baada ya hapo ww unakula faida tu.hii nyumba mmiliki ni mmoja ila ina Offa na makaratasi ya mauziano mwenyewe anauza ml.180Tsh maongezi yapo kidogo ndugu mteja hii nyumba inauzwa bei rahisi mno haswa kwa maeneo hayo mwenyewe ameamua kuuza bei hiyo kwasababu anauhitaji wa hela kwa haraka ndio maana ajaanzia bei ya tamaa karibu sana ndugu mteja njoo uchukue hii nyumba utakuja kunikumbuka
Kwenda sait elf 30
Contact 0755 454 251 0688 262 000 0715 423 267



















