Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Tabata, Dar es Salaam, mita 50 tu kutoka Mandela Road na ipo kando ya barabara kuu. Eneo hili linafaa sana kwa uwekezaji wa nyumba za kupangisha, hoteli au ofisi. Nyaraka zote zipo halali kutoka Wizara ya Ardhi. Gharama ya kutembelea ni TZS 50,000.
#NyumbaInauzwa #TabataInvestment #DarRealEstate #FursaYaUwekezaji #MaliHalali#dalalisoso