Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Shell Oil Com.
- Master
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Full A/C
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Wapangaji wanne
- Parking
- Fence
Kodi 200,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.