Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar es Salaam! 🌆
➡️ Ukubwa: 800 sqm
➡️ Bei: Milioni 220
➡️ Hati miliki mezani
➡️ Gharama za ukaguzi: Tsh 60,000
Kiwanja hiki ni fursa nzuri kwa maendeleo yako: kinafaa kwa yard ya magari makubwa, nyumba za kupangisha, au hata nyumba ya familia yako! Ipo mita 400 tu kutoka barabara ya Mandela Road, hivyo unapata urahisi wa miundombinu na huduma.
Usikose nafasi hii adimu ya kumiliki kiwanja chenye hati kamili, eneo lenye thamani kubwa na linaloendelea kukua!
#KiwanjaKinauzwaTabata #FursaYaUwekezaji #NyumbaZaKupangisha #NyumbaYaFamilia #HatiMilikiMezani #RealEstateTanzania#dalalimutrakinyerezi 🔴⚪️☑️ #dalalimutratabata