Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENTS 4 ZA KISASA INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI MWISHO MADUKA SABA
Bei:250,000/ Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
Contact 065830422
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
____________________________________
📍LOCATION:TABATA KINYEREZI MWISHO MADUKA SABA
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- DAKIKA 7 kutoka Main Road (kinyerezi Stend)
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 2 Vya kulala
📍2 master Bedroom
📍Sebule kubwa sana
📍feni kila bedrooms
📍Jiko safi
📍Public toilet
📍Space parking Car
📍Peving block
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️ Apartments 4 za kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika.