Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartment for rent
Lacation Tabata segerea kwa Bibi
Price-2500000 kwa mwezi
Malipo nikwa miezi sita cash
Service charge ni elfu ishirini
Bila kusahau mwezi mmoja wa dalali ommy
Zingatia maelezo mteja wangu tuepushe usumbufu
Contact namber from dalali-0719131551
Sifa zake nyumba iyo
2 bedroom
1 bedroom master
Sitting room
Pablick toilet inside
Kinchein
Luku independent
Maji yana floo
Dirisha kioo
Tairz gypsam
Karibuni sana wapendwa