Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Tabata Bima.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
Kodi 200,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.