Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Mangumi.
- Master kubwa
- Sebule kubwa
- Tiles
- Gypsum
- Madirisha ya aluminum
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Wapangaji watatu
- Parking
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 150,000/= MIEZI SITA KAMILI.
Service charge 10,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688412890.