Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Aptiment for rent
Lacation Tabata kinyerezi kibaga
Price-400000
Malipo nikwa miezi sita
Service charge ni elfu ishirini
Bila kusahau mwezi mmoja wa dalali ommy
Zingatia maelezo mteja wangu tuepushe usumbufu)
Contact namber from dalali ommy-0719131551
Sifa zake nyumba iyo
2 bedroom
1 bedroom master
Sitting room
Kinchein
Pablick toilet inside
Paving block
Window slaidy
Cars packing
Reserve woter tank
Dawasco water 24 hrs
Karibuni sana wapendwa