Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA TABATA KINYEREZI MAHAKAMANI KIPO CENTER KABISA
Hapa Kuna zaidi ya Sqm 1900 Zinapatikana Tabata kinyerezi Mahakamani zinafaa kabisa kwa uwekezaji
Bei: 350 Milion #maongezi_yapo
Service Charges:30,000 ( Unalipia Mala Moja Tu.)
📍Location: Tabata Kinyerezi Mahakamani Dar es salaam Tanzania
📍Ukubwa wa kiwanja Ni Sqm 1900
Umbali Ni Dakika 2 kutoka kinyerezi Mwisho
✅️Fully Documented
✅️Kina Hati Miliki ya wizara ya Ardhi
📍Tabata Kinyerezi Mahakamani Moja kati ya maeneo ambayo yanakuja kwa kasi sana hapa kinyerezi kwa uwekezaji, unaweza kujenga kwa kuishi au ukaamua kuweka nyumba za kupangisha panalipa sana Mazingira ni rafiki sana Mitaa yake imenyooka sana
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
☎️0785916587 Whatsp/Calls
☎️0627511524 Whatsp/Calls