Nyumba inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Shell Oil Com.
- Chumba
- Choo
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Wapangaji watatu
- Paving
- Parking
- Dk 2 kutoka kituoni
Kodi 250,000/= MIEZI MINNE.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi.
Muhitaji piga 0688 412 890.