Nyumba inapangishwa Tandika, Dar Es Salaam


Nyumba nzima stand Alone inapangishwa Eneo liliopo Tandika Jirani na barabara ya lami ya mtaa .Ina sifa hizi zifuatazo room 3 Sebule na dining na chumba kimoja masta Sebule choo na jiko.kwa mwezi laki(400000) Kodi miezi 6
Umeme.luku na maji yapo
Ndani ya fensi hii nyumba
Kuona nyumba kwa dalali Rashid elfu 10000
Baada ya malipo ya Kodi ya mwenye nyumba .ela ya udalali ya mwezi mmoja kwa Chid blocker (0754206815(0629956838)