Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Mpyaaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO RIVERSIDE, KIBANGU
#Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road, Barabara ni Nzuri
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule
• Vyumba Viwili vya Kulala Kimoja Wapi Master
• Jiko Kubwa Sana
• Choo Kizuri Ndani Cha Familia
Apartment zipo 4 Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp