Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PAVING BLOCK
PARKING YAKUTOSHA
Kodi 270,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.