Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


HABARI NDUGU WAPAMBANAJI, NIPO HAPA NA BOSS WANGU KANIKABIDHII HII NYUMBA, HII NYUMBA IPO BARABARA YA UBUNGO MAZIWA, PIAA IPO KARBU NA UBUNGO STENDI YA ZAMAMANI, PIAA KARIBU NA MABIBO N.I.T. NYUMBA IMEGUSA LAMI.
UKUBWA WA KIWANJA SQM 301
BEI YA MAUZO MILL 400
YALIYOMO;
1.NYUMBA MOJA YA VYYMBA VIWILI INAPANGISHWA LAKI 4 KWA MWEZI
2.NYUMBA YA CHUMBA SEBULE NA JIKO ZIPO 2 FLOOR YA KWANZA KILA MOJA INAPANGISHWA 300K
3.IPO NYUMBA YA NYUMA AMBAYOO IPO KAMA SERVANT KOTA INA CHUMBA SEBULE NA JIKO ZIPO 2, BEI LAKI 250
4.FREM UPANDE WA MBELE ZIPO TATU NA BEI YAKE NI LAKI 1 KILA MOJA.
NB: NYUMBA INA HATI YA KISASA
%10 ya dalali ipo kwa mauzo ya million 400. KARIBUNI SANA.