Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


House for Rent Stand Alone Inajitegemea Gate yake
Location Tsbata Kisukuru Near Ubungo External Usafiri ni Bajaji na Daladala ukishuka Dakika 1
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20,000/=
Sifa za Nyumba
==============
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen with Cabinet
Store
Public toilet ndani
Luku yake
Fully A/C
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Garage ya Kuingia Gari
Garden
Good environments
_____________
0759 883 886 call