Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KUPANGA 550K X6
NYUMBA HII IPO UBUNGO EXTRENAL MIGOMBANI UNAWEZA PITIA TABATA SEGEREA AU KIMANGA
SIFA ZAKE 
#VYUMBA_VITATU_VYA_KULALA 
#KIMOJAWAPO_MASTER_BEDROOM
#SEBULE 
#JIKO ZURI LA KISASA LA KUJIACHIA 
#PUBLICTOILET 
TYRIES GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
BEI 500K MIEZI 6
AGENT FEE 1 MONTH 
SURVEY CHARGE 20K 
CONTACT 
  CALL/WHATSAPP...O677370515




















