Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENCE
NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI FEN JUU CHUMBANI NA SEBLEN
UMBALI KM KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
ANGALIZO: HII NYUMBA INAKUA WAZI TAR 18 / 03 /2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA
CONTACT...0782636396 0655436396