Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA KIZURI SANAA
====================
KIPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
===================
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MIWILI TU (2)
=================
BAADA YA IYO MIEZI MIWILI KUISHA NDO UENDELEE NA UTARATIBU WA MWENYENYUMBA
====================
CHUMBA KINA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
===================
KIPO NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
==================
LUKU 2 NA NAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
=================
UMBALI KM 1,8 KUTOKA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 NA UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
=================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
===================
CONTACT
#0769680796whtsp
#0712348316Whatsp