Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE do10 -12
Nyumba itakuwa wazi trh 1/5/2024 kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
PUBLIC TOILET
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PAVING BLOCK
PARKING
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.