Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
BAJAJI SH.500 DALADALA SH.500
CHUMBA MASTER BEDROOM
JIKO FULL MAKABATI
TYRIES GPYSAMU DILISHA KIOO UMEME MITA YAKO MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO NDANI YA FENCI PARKING KUBWA PAVING BLOCK ๐ซ USALAMA WA KUTOSHA CCTV CAMERA ELECTRICAL FANCE
KODI 180K MALIPO MIEZI X6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347