Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 550K X6
KODI LAKI TANO NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA HAPA
NYUMBA HII IPO UBUNGO EXTRENAL MIGOMBANI UNAWEZA PITIA TABATA SEGEREA AU KIMANGA
SIFA ZAKE
#VYUMBA_VITATU_VYA_KULALA
#KIMOJAWAPO_MASTER_BEDROOM
#SEBULE
#JIKO ZURI LA KISASA LA KUJIACHIA
#PUBLICTOILET
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU ISHIRINI DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027