Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA NA
JIKO ZURI KUBWA
.
.
๐ฐKODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
.
.
KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO
.
KOTE USAFIRI UPO BAJAJI 500
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI
.
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YATAFLOW NDAN CHOON NA JIKON
.
NYUMBA IPO WAZI WAI MAPEMA KESHO ASUBUI NDG MTEJA WANGU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT 0625606710