Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 3 NDANI YA FENSI MOJA NDIO IPO WAZI KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#SEHEMU YA JIKO KUBWA
#PABLICK TOILET NJE
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE NJE NDANI WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347