Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
CHOO NJE CHA KUSHEA WAWILI TU
KODI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
LOCATION: MAKOKA STENDI ZINAPOISHIA BAJAJI ZA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KUPITIA KIBANGU
NYUMBA NZURI NI WAPANGAJI 4 TU NA MWENYE NYUMBA HAKAI APO
LUKU WAWILI NA MAJI YAPO DAWASA MASAA YANAFLOW YANATOKA CHOON
UMBALI KM 2 KUTOKA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT