Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 200k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO KIBANGU
Umbali wa Kilomita Moja Kutoka Riverside, Usafiri Bajaj 500, Boda 1000
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Master Bedroom
• Jiko
• Choo Kizuri Cha Wageni Nje
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU SUB METER kwa Muda na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA AU what saapp number ⬅️ 0689-547258
ERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈