Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NI APARTMENT NZUR MPYAA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA SEBULE KUBWA SANA NA KIBARAZA KIZURI CHA KUPIKIA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOONI
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
UMBALI KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 709 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp