Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
==================
KODI NI 250,000
===============
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN NA USAFIRI UPO WA UAKIKA WA BAJAJI 700
INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
==================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI FULL FEN CHUMBANI NA SEBLEN
=================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
===================
CONTACT



















