Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 400,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫 KILA MPANGAJI ANAGETI LAKE
CONTACT
#0676_218580(WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















