Nyumba inapangishwa Ukumbi, Iringa







🇹🇿Eneo Linakodishwa
Location: Boko Chama
Linaangalia Barabara Ya Lami
Punguzo la Kodi kutoka 7,000,000/= Mpaka 5,000,000/=
Ukubwa
Square Meters 1132 ( urefu ni meter 39 na upana 29 meter.)
Kodi Kwa Mwezi: 5,000,000( Maongezi Yapo).
*TITLE DEED* (Hati Miliki Ya Wizara Ipo).
Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote
Yard na ofisi
Ukumbi au kumbi za starehe
Showroom
Apartments
Night clubs
Duka la vifaa vya ujenzi
Guest and lodge house
Kituo Cha Mafuta (Petrol station)
Bar na restaurant
Supermarket e.t.c.
#Angalizo* , Eneo haliuzwi na haliruhusiwi kutumika kama sehemu ya nyumba ya maombi ( ibada)
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp