Nyumba inapangishwa Ukumbi, Iringa


Eneo linakodishwa lipo Boko Chama linaangalia barabara ya lami. Punguzo la Kodi kutoka 7,000,000 mpaka 5,000,000.
Ukubwa
Square meters 1132.
Kodi Kwa mwezi: 5,000,000( Maongezi yapo).
*TITLE DEED* (hati miliki ya wizara ipo).
Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote
Yard na ofisi
Ukumbi au kumbi za starehe
Showroom
Apartments
Night clubs
Duka la vifaa vya ujenzi
Guest and lodge house
Kituo Cha Mafuta (Petrol station)
Bar na restaurant
Supermarket e.t.c
Kwa mawasiliano zaidi piga hizi namba
====
0683234124
0718367179
GALAMA ZA KUONA ENEO NI 30,000/=
DALALI UTAMULIPA HELA YA MWEZI 1,
PINDI ULIPIAPO ENEO