Nyumba inapangishwa Usa River, Arusha
Nyumba Inapangishwa USA RIVER(Kwa Aloisi)
Ina room nne za kulala
Room Tatu ni Master
Ina Sebule
Ina dining
Ina jiko
Ina choo
Mahali ni Kwa Aloisi
Kodi ni Tsh 700,000 kwa mwezi
Nyumba ipo karibu sana na Lami
.
..
Mobile- 0683545452
.
..
#usariver #kwaaloisi #tourismarusha #houseforrent #arushanationalpark #arushatanzania