Nyumba inapangishwa Uwanjani, Songwe


NIMEISHUSHA BEI
KODI 250000 X 6 SASA
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 12 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KISMATI UBUNGO
0772850032