Nyumba inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET
INAPANGISHWA
TEGETA WAZO
BEI 200,000
KODI MIEZI 5
0712154044
ZIPO 4TU
ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENCE GETI KALI
BARABARA INAPITIKA HATA KWA GARI NDOGO
UMBALI KUTOKA LAMI DAKIKA 4 KWA MIGUU
NYUMBA MPYAA