Nyumba inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F5ed5368d-99ff-4fff-876d-134d1dd83361.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F5ed5368d-99ff-4fff-876d-134d1dd83361.jpg&w=256&q=75)
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA
π₯ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
πΉπΏ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO TEGETA WAZO HILL (MAENEO YA MSIGANI) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924
0688653940