Nyumba inauzwa Bagamoyo, Mbeya


...
*Shamba la Ekari 60 linauzwa Milioni 450 maongezi yapo 📍Lipo Mwavi, Bagamoyo* MKOA WA PWANI
*Distance* Kilometre 2 tu Kutoka Barabara kubwa bagamoyo road
*Location* Shamba limeshika Barabara ya Mwavi kwenda Viwandani inayowekwa lami
*SHAMBA LINAUZWA NA VITU VYOTE VILIVYOMO NDANI IKIWEMO MIFUGO*
👉Shamba kuna Ekari 1 imezungushiwa fence ambapo kuna Mbuzi na Kondoo 400 Ng'ombe wakubwa 50 Ndama 6 wapo wanao kamuliwa
Kuna Ghorofa ina vyumba V4 vya kulala, juu vyumba v2 na chini V2.
👉 Pia kuna Nyumba ya Wafanyakazi na Mabanda ya mifugoa na Mazizi mawili ya Ng'ombe
👉 Ndani ya shamba kuna umeme maji safi Dawasco
-Plot size Ekari 60
-Document: Survey (Pamepimwa)
*Bei shilingi milioni 450 maongezi yapo
Kwenda saiti kukagua shamba tunachaji sh 50.000
CONTACT
O747196597 WHATSAPP
0718618508
0696288247