Nyumba inauzwa Buhongwa Center, Mwanza


Aina
Nyumba
Huduma na Sifa
Maelezo
Mjengo unauzwa milioni 75
Nyumba ipo buhongwa center chuo cha veta mita chache sana kutoka lami (CRDB BANK BUHONGWA CENTER)
Nyumba ina mpangaji analipa 4m kwa mwaka
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711



















