Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KISASA INA FENSI - INAUZWA BUNJU B
___________
LOCATION: BUNJU 'B' - Mita 300 Kutoka Main Road (Bagamoyo Road).
___________
Nyumba ina vyumba 3, 1 Master, Sebure, Dinning na Public Toilet
KIWANJA: Kina Ukubwa Sqm 550
Kiwanja kimepimwa na Kina Hati Kamili ya Wizara.
___________
BEI: TSH MIL 100 Ila maongezi yapo.
Call/WhatsApp: 0687800788