Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYAA INAUZWA
IKO BUNJU MIANZINI , NI YA NNE KUTOKA BARABARA KUU
BEI NI MIL 190 tsh (mazungumzo kidogo sana)
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
VYOTE Masta, Sebule, dinning, jiko lenye stoo.
MAWASILIANO ZAIDI
dalali_mbezi_beach_godfrey1
0652450348
AU
0625584914