Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
___________
LOCATION: BUNJU A - SHULE
___________
Nyumba ina vyumba 3, 1 Master, Sebure, Dining, Jiko na Public Toilet.
Pembeni kuna Servant Coter ya Chumba master na Sebure.
Nyumba ipo karibu na Main Road na Mtaa mzur sana.
___________
BEI: TSH MIL 100 Maongezi yapo.
Service Charge kwenda kuona ni Tsh.30,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788